Wazee pia wajiheshimu- waachane na mayout ‘watembee’ na wazee wenzao

Nataka leo wazee waget more teachings kutoka kwangu.

Mara mob watu husema eti wazee lazima waheshimiwe kwa life, hasa na mavijana. Hiyo ni poa, na sipingi. Lakini ni poa pia wazee wajiheshimu kwanza.

Kama wewe ni mzee, basi lazima ujiheshimu ndio hata vijana wakuheshimu. Kwanza ni lazima utembee na wazee rika yako ndio uzee wako iheshimiwe.

Songa na wakati. Hauwezi heshimika kama vijana wakienda dunda na wewe unaenda kudunda nao. Wakicheza ma bend over na ma daggering, wewe pia uko nao hapa kwa hapa yet wewe ni rika ya wazazi wa hawa mayout man.

Uzee yako haiwezi heshimika kama hata tei unakata na watoto wanaweza wakakuita mum ama dadi. Jiheshimu kama wewe ni mzee ndio watoi waheshimu uzee wako.

Unapata mzae mzima amekunja katotoise kwa kona anataka kukapiga kuni. Unataka kulala na mtoto wa rika moja na mtoto wako halafu una-expect huyo mtoto akuheshimu, totoise anakwambia daddy don’t touch me there nabado unainsist lazima akuanikie ikuss.

Wazee jiheshimuni ndio mheshimiwe. Wamama wazee wachaneni na vijana wadogo, mnamalizia wasichana wazee wao na wazee wenu wako.

Wanaume wazee na nyinyi muachane na tu-totoise tudogo mnaharibia vijana wadogo ma bibi zao. In short heshimu uzee yako ndio uheshimiki kwa kijiji.

Ogopeni Mungu

Swali yangu ni moja kwa waumini ama kondoo zote. Kwani siku hizi watu hawaogopi Mungu? Inasemekananga ya kwamba fear of the Lord is the beginning of wisdom, but hapa Kenya sioni wisdom.

Kwanza kama hawa watu wa miujiza ndio watatupeleka mbinguni, basi tutapotelea njiani. Advice yangu kwa kondoo ni moja tu

— usifuate ama kuskiza sana venye prophet ama pasih wako anasema. Afadhali wewe mwenyewe ujiombee kwa nyumba. Kama nimbaya sana, basi ita washirika wakusaidie kuomba kwa nyuba yako.

Sio poa wewe ku-trust tu kila kitu prophet anadai. Kua kama wa rasta

— we don’t trust in prophet, in Jah we trust.

Hata kama wewe ni nani usidanganyike tafadhali, hizi ndio zile siku zilitabiriwa. Yaani siku za last. Wahenga wakasema kutakua na prophets wa uongo na wa ukweli. Na sasa ni wewe ujichunguzie ni nani utafuata. kondoo hudanganywa kwa sababu ya kukua weak na desperate, but hata kama wewe ni maskini hohehahe, usidanganyike eti mtu atakufanyia miracle. Miracle zilisonga na akina Musa na Ibrahim.

Lipeni masafarah poa

Kuna watu wengine huchukulia wengine advantage. Unapata kazini ule mtu anafanya kazi mob ndiye anapata chedas kidogo. But you have to start from somewhere juu hivyo ndivyo kunaendanga. Wkikuchukulia advantage, uskonde, wewe chapa works yako na Sir Jah atakubless.

Kumbuka kuwa wanavyodhani divyo sivyo, kumbe sivyo ndivyo. Bora wewe usidharao wengine haina was. Wacha wao wakudharau but you never know, siku jamo watakugotea kwa heshima.


JOIN THE CONVERSATION


next